Mbowe alishika mawe, kushambulia polisi – Shahidi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbowe alishika mawe, kushambulia polisi – Shahidi

SHAHIDI wa upande wa mashitaka katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amedai kuwa kiongozi huyo alibeba mawe ili kuwashambulia polisi. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Shaban Khassan Abdallah, ameeleza kuwa, alimuona Mbowe na washitakiwa wengine tisa, wakiwa na mawe mkononi na marungu kwa lengo la kuwashambulia polisi. “Niliwaona wakiwa ...


Source: MwanahalisiRead More