Mbowe alivyofunga Kampeni za Uchaguzi Kinondoni - Millard Ayo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbowe alivyofunga Kampeni za Uchaguzi Kinondoni

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Aikael Mbowe akiwa na Wabunge wa Chama hicho alifunga kampeni katika Jimbo la Kinondoni February 16, 2018 ambapo uchaguzi unafanyika leo. Mbowe amewataka Wakazi wa Kinondoni kumchagua Salum Mwalim ili aweze kuwaletea Maendeleo katika Jimbo hilo la Kinondoni, Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Mbowe alivyofunga Kampeni […]


Source: Millard AyoRead More