MBOWE AMUONGELEA PROFESA LIPUMBA NA CUF - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MBOWE AMUONGELEA PROFESA LIPUMBA NA CUF

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Freeman Mbowe amesema Chama cha Wananchi(CUF)kinapita katika wakati mgumu kutokana na mgogoro unaondelea kufukuta ndani ya Chama hicho.
Mbowe amesema hayo leo Machi 15,2019 jijini Dar es Salaam wakati anazungumza na waandishi wa habari ambapo amedai mgogoro wa CUF umetengeneza kwa lengo la kuudhoofisha upinzani.
"CUF inapita kwenye mgogoro mkubwa na kwa bahati mbaya ni wa kutengenezwa kwa lengo la kuudhofisha upinzani.Sitaki kuwa Msemaji wa CUF ila nawashauri wamalize kile ambacho watakifanya kwa usalama,"amesema Mbowe.
Ameongeza wakati mgogoro huo unaendelea, amemsikia mara kadhaa Profesa Ibrahim Lipumba namna ambavyo anawalaumu Chadema na uamuzi wake wa kujiondoa Ukawa.
"Profesa Lipumba ni mtu ambaye nimefanya naye nyingi, naheshimu na nitaendelea kumheshimu.Kwa sasa nimuache maana ni mtu mzima na acha afanye anachoendelea.
"Kuna siku Dunia itajua na hasa muda ukifika utaongea.Naamini haki ya wananchi wa Z... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More