Mbowe, Ester Matiko wageuka kivutio bungeni - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbowe, Ester Matiko wageuka kivutio bungeni

MBUNGE wa Hai, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko wote Chadema wamekuwa kuvutio katika ukumbi wa Pius Msekwa kwa kushangiliwa na wabunge baada ya kutambulishwa na Spika wa Bunge Job Ndugai. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Spika Ndugai aliwakaribisha wabunge hao muda mfupi kabla hajamkaribisha Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa ili aweze ...


Source: MwanahalisiRead More