Mbowe, Lowassa wala kiapo Monduli - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbowe, Lowassa wala kiapo Monduli

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho wameapa hadharani kumkabili Rais John Magufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu, Monduli … (endelea). Viongozi hao wa Chadema wameeleza kuchoka kuvumilia kile walichokiita uvunjifu wa haki na Uhuru na sasa wamepanga ‘kulianzisha’ baada ya uchaguzi huu mdogo. ...


Source: MwanahalisiRead More