Mbowe, Matiko kukamatwa - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbowe, Matiko kukamatwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru kumatwa kwa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa  Chama  cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Ester Matiko, Mbunge wa Tarime Mjini. Anaripoti Faki Sosi… (endelea). Hakimu Mkazi Mkuu Wilbard Mashauri  leo tarehe 8 Novemba mwaka 2018  ameamuru kukamatwa kwa viongozi hao kutokana na kushindwa kuhudhuria kwenye kesi inayowakabili hapo bila ruhusa ya mahakama. Taarifa kutoka ndani ya ...


Source: MwanahalisiRead More