Mbowe, Matiko waitwa Mahakama ya Rufaa - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbowe, Matiko waitwa Mahakama ya Rufaa

KESI ya kupinga kurejeshewa dhamana iliyofunguliwa na serikali dhidi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasim na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na Mwekahazina wa Baraza la Wanawake la chama hicho (BAWACHA), Esther Matiko, itasikilizwa Mahakama ya Rufaa jijini Dar es Salaam, tarehe 18 Februari mwaka huu. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Serikali iliwasilisha Mahakama ya Rufaa, ...


Source: MwanahalisiRead More