Mbowe mgonjwa, ashindwa kufika mahakamani - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbowe mgonjwa, ashindwa kufika mahakamani

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ni mgonjwa, hali iliyopelekea kushindwa kufika mahakamani. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Hayo yameelezwa leo Alhamisi, tarehe 17 Januari 2019, mbele ya Hakimu Mkazi Kisutu, Wilbrad Mashauri. Wakili mkuu wa Serikali, Patrick Mwita, ameambia Mahakama kuwa Mbowe anaumwa na hivyo, “ameshindwa kufika mahakamani.” Wakili Mwita ...


Source: MwanahalisiRead More