Mbowe, wenzake wabanwa, wakutwa na kesi ya kujibu - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbowe, wenzake wabanwa, wakutwa na kesi ya kujibu

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa na wenzake, wamekutwa na kesi ya kujibu katika kesi ya jinai namba 112/2018, inayowakabili kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Leo tarehe 12 Septemba 2019, Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba amesema washtakiwa hao, kila mmoja ana kesi ya kujibu katika makosa ...


Source: MwanahalisiRead More