Mbunge ataka sheria iundwe dhidi ya wanaotoa ushuzi ‘Kujamba’ fahamu zaidi - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbunge ataka sheria iundwe dhidi ya wanaotoa ushuzi ‘Kujamba’ fahamu zaidi

Mbunge mmoja wa magharibi mwa Kenya amewasilisha pendekezo lake bungeni akitaka kuwekwa kwa sheria ya kudhibiti utoaji wa ushuzi katika safari za ndege.Mbunge huyo wa jimbo la Rangwe Dkt Lilian Gogo alilitoa pendekezo hilo wakati wa kipindi cha hoja juu ya kufanyiwa kwa marekebisho ya sheria za usafiri ndege ili kuboresha usalama.


Dkt. Gogo aliliambia bunge kwamba utovu wa usalama hausababishwi tu na injini kufeli au mitambo mingine bali na wasafiri wanaotoa ushuzi safarini.


Alisisistiza kwamba wahudumu kwenye ndege wanapaswa kupewa mafunzo maalum ili kuwawezesha kudhibiti viwango vya ulevi wa abiria kwenye ndege akisema kwamba utovu wa nidhamu mara nyingi husababishwa na abiria waliobugia vileo.“Kuna kitu kimoja ambacho hukera sana… na ni viwango vya utoaji wa hewa chafu. Kuna abiria ambao wanaweza kukera abiria wenzao kwa kutoa hewa chafu, inayonuka vibaya,na kukosesha starehe. Kama hili halitathibitiwa itasababisha ukosefu wa starehe ambayo itapelekea kuwepo kwa ukosefu wa u... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More