Mbunge auwawa kwa kupigwa risasi nchini Uganda - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbunge auwawa kwa kupigwa risasi nchini Uganda

Mbunge wa Manispaa ya Arua nchini Uganda (MP), Ibrahim Abiriga ameuawa kwa kupigwa risasi karibu na nyumba yake huko Mattuga Wilaya ya Wakiso.


Source: BBC SwahiliRead More