MBUNGE AZZA HILAL ATEMBELEA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA SHINYANGA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MBUNGE AZZA HILAL ATEMBELEA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA SHINYANGA


Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga,Mhe. Azza Hilal Hamad (katikati) akiwasili katika hospitali ya wilaya ya Shinyanga inayojengwa katika kijiji cha Iselamagazi kata ya Iselamagazi halmashauri ya wilaya ya Shinyanga ili kujionea jinsi ujenzi unavyoendelea. Kulia ni Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, Mhe. Hoja Mahiba.Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga,Mhe. Azza Hilal Hamad (katikati) akiwa katika hospitali ya wilaya ya Shinyanga inayojengwa katika kijiji cha Iselamagazi kata ya Iselamagazi halmashauri ya wilaya ya Shinyanga ili kujionea jinsi ujenzi unavyoendelea. Mbele ni Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Shinyanga,Mhe. Hoja Mahiba.Kushoto ni Msimamizi wa ujenzi katika hospitali ya wilaya ya Shinyanga,Willium John Lusiu akimweleza jambo Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga,Mhe. Azza Hilal Hamad.Msimamizi wa ujenzi katika hospitali ya wilaya ya Shinyanga,Willium John Lusiu akiendelea kumtembeza Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga,Mhe. Azza Hil... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More