Mbunge CCM amvimbia Spika Ndugai - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbunge CCM amvimbia Spika Ndugai

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limesimamisha uwakilishi wa Mbunge wa Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele hadi Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge itakapokamilisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Akizungumza bungeni jijini Dodoma leo tarehe 16 Mei 2019, Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema, Bunge limechukua ...


Source: MwanahalisiRead More