Mbunge CCM: Kwanini elimu ya Muungano isitolewe? - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbunge CCM: Kwanini elimu ya Muungano isitolewe?

RITTA Kabati, Mbunge wa Viti Maalum (CCM), ametaka Wizara ya Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kuona uwezekano wa kupeleka elimu ya muungano kwa ngazi ya kata na wilaya badala ya kufanya maadhimisho hayo kitaifa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kabati ametoa kauli hiyo leo tarehe 18 Aprili 2019 bungeni alipouliza swali ...


Source: MwanahalisiRead More