Mbunge Chadema ajibu mashambulizi ya Mwita   - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbunge Chadema ajibu mashambulizi ya Mwita  

CECIL Mwambe, Mbunge Jimbo la Ndanda (Chadema) anayetajwa kwenye orodha ya wabunge wanaotaka kukimbilia CCM amesema, hajashindwa kazi. Anaandika Faki Sosi … (endelea). Amesema, wale wanaohama baada ya miaka miwili au mitatu wakitumikia wananchi kwa upande wa upinzani, hawakufanya chochote hivyo wamekuwa wakitoa hoja ya kukwamishwa na chama.  Mwambe amesema, miongoni mwa wanaotoa sababu zinazolenga ...


Source: MwanahalisiRead More