Mbunge Chadema aliyekamatwa, atoka ‘sero’ - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbunge Chadema aliyekamatwa, atoka ‘sero’

JESHI la Polisi wilayani Tarime limewaachia kwa dhamana, Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko (Chadema) na Mwandishi wa habari wa gazeti la Tanzania Daima, Sitta Tuma. Anaripoti Regina Kelvin…(endelea). Matiko na Tuma walikamatwa jana tarehe 8 Agosti, 2018 na Jeshi la Polisi wakiwa kwenye mkutano wa kumnadi mgombea udiwani Chadema Kata ya Turwa. Polisi waliuzuia ...


Source: MwanahalisiRead More