MBUNGE JUMAA ATOA KONTENA LA VIFAA TIBA MLANDIZI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MBUNGE JUMAA ATOA KONTENA LA VIFAA TIBA MLANDIZI

NA MWAMVUA MWINYI, KIBAHA VIJIJINI MBUNGE wa jimbo la Kibaha Vijijini, mkoani Pwani, Hamoud Jumaa ametoa kontena la futi 40, lenye vifaa tiba mbalimbali pamoja na baadhi ya samani za shule ambalo limegharimu kiasi cha sh. milioni 400.
Akikabidhi kontena hilo la vifaa kwa mganga mkuu wa wilaya ya Kibaha Ibrahim Isaack, mbunge Jumaa alisema, msaada huo unalenga kukabiliana na changamoto ya upungufu wa vifaa tiba uliopo katika kituo cha afya cha Mlandizi.
"Kutokana na jitihada za serikali na Rais Dkt. John Magufuli ambazo anazichukua kutatua matatizo yaliyopo katika sekta ya afya, ambapo zimeshatolewa sh. milioni 400 za kukarabati ,kupanua ama kujenga majengo ya vituo vya afya, "
"Nami nimeona niunge juhudi za Rais Dkt. Magufuli kukabiliana na changamoto hizo ili kuboresha huduma zinazotolewa kwenye kituo cha afya na zahanati "alisema Jumaa. 
Aidha Jumaa, alisema kipindi cha nyuma alitoa kontena la vitabu mbalimbali ambavyo vilisambazwa katika shule za msingi na sekondari, lakini kwa sasa amele... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More