Mbunge mwingine Chadema aachia ngazi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbunge mwingine Chadema aachia ngazi

ALIYEKUWA mbunge wa Simanjiro (CHADEMA), James Millya, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Katika barua yake kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai, Millya anasema, ameamua kuchukua uamuzi huo kufuatia kuona giza nene kwa chama alichokuwa. Anasema, kabla ya kujiunga na Chadema alikuwa mwanachama wa CCM. Anasema, aliondoka CCM kwa kuwa alikiona siyo ...


Source: MwanahalisiRead More