Mbunge mwingine wa CHADEMA ahamia CCM, Polepole atangaza OFA kwa Wabunge wanaotaka kuhamia CCM - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbunge mwingine wa CHADEMA ahamia CCM, Polepole atangaza OFA kwa Wabunge wanaotaka kuhamia CCM

Mbunge wa Simanjiro kwa tiketi ya CHADEMA, James Ole Millya amejiuzulu nafasi ya Ubunge na nafasi zake zote kwenye chama hicho na  kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).


Image result for James Ole Millya na mboweJames Ole Millya

Kikubwa zaidi kilichomfanya ahamie CCM ni kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.


Maamuzi hayo ameyafanya mchana wa leo, wakati ambao Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM, Humphrey Polepole akitoa tangazo kuwa kwa wabunge na madiwani wa vyama vya upinzani wanaotaka kuhamia CCM mwisho ni mwaka huu 2018.#Tumezingatia Na tunaweka jitihada zetu zote katika kushughulika na utatuzi wa shida za watu wetu wa Tanzania. Mwaka 2018 ndio mwisho kwetu kufanya Chaguzi Ndogo za Ubunge kwa wale wanaohama vyama vyao na kujiunga na CCM. Watakaoikosa round hii mbaki hukohuko tutakutana 2020


— Humphrey Polepole (@hpolepole) October 7, 2018The post Mbunge mwingine wa CHADEMA ahamia CCM, Polepole atangaza OFA kwa Wabunge wanaotaka kuhamia CCM appeared first on Bongo5... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More