MBUNGE MWINGINE WA CHADEMA JIMBO LA SIMANJIRO JAMES OLE MILLYA ATANGAZA KUACHIA NGAZI CHADEMA NA KUREJEA CCM - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MBUNGE MWINGINE WA CHADEMA JIMBO LA SIMANJIRO JAMES OLE MILLYA ATANGAZA KUACHIA NGAZI CHADEMA NA KUREJEA CCM

  Mbunge wa jimbo la Simanjiro Mhe. James Ole Millya leo ametangaza kujivua uanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuomba kurejea ndani ya chama chake cha zamani CCM
... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More