MBUNGE SINGIDA ASAKA MILIONI 480 ZA KUCHIMBA VISIMA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MBUNGE SINGIDA ASAKA MILIONI 480 ZA KUCHIMBA VISIMA

 Mbunge  wa Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu, akihutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana Kijiji cha Mtavira Kata ya Makilawa wilayani Ikungi mkoani Singida. Wasanii wakitoa burudani kwenye mkutano huo Mbunge  wa Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu, akicheza sanjari na wasanii. Mkutano ukiendelea Wananchi wakinyoosha mikono kuipongeza Serikali kwa kuwapelekea maendeleo Watoto wakiwa juu ya miti wakimsikiliza mbunge waoMkutano ukiendelea

Na DottoMwaibale, Singida.
MBUNGE wa Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu anatafuta sh.milioni 480 kwa ajili ya kuchimba visima virefu vya maji katika vitongoji 12 vilivyopo Kata ya Makilawa wilayani Ikungi mkoani Singida.
Akizungumza jana katika mkutano wa hadhara wenye lengo la kuzungumzia miradi ya maendeleo iliyofanyika katani hapo pamoja na kujua changamoto zilizopo Kingu alisema wananchi waliopo mji wa Mtavira wameanza kupata maji hadi kufikia hatua ya kuosha magodoro.
"Hapa Mtavira mnapata maji mengi kupitia... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More