Mbunge Ukerewe, naye aikimbia Chadema - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbunge Ukerewe, naye aikimbia Chadema

ALIYEKUWA mbunge wa Chadema katika jimbo la Ukerewe, mkoani Mwanza, Joseph Mkundi, hatimaye amemwaga manyanga. Anaripoti Mwandishi Wetu …. (endelea). Katika barua yake kwa Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, mbunge huyo ameeleza kuwa ameamua kujiuzulu wadhifa wake wa ubunge, pamoja na uwanachama wa Chadema, kufuatia “kutopata ushirikiano kutoka kwa viongozi wake wa juu.” ...


Source: MwanahalisiRead More