Mbunge wa Chadema awamwaga Polisi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbunge wa Chadema awamwaga Polisi

MBUNGE wa jimbo la Mbozi mkoani Songwe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Pascal Haonga na wenzake wameshinda kesi iliyokuwa inawakabili katika Mahakama ya Wilaya ya Mbozi, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha makosa dhidi ya watuhumiwa. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Haonga na wengine Katibu wake Wilfred Mwalusamba na Mashaka Mwampashi walikuwa ...


Source: MwanahalisiRead More