Mbunge wa Goodluck Ulanga Mlinga aomba dawa za kifafa jimboni kwake - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbunge wa Goodluck Ulanga Mlinga aomba dawa za kifafa jimboni kwake

Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Goodluck Mlinga ameiomba Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuongeza mgawo wa dawa za Ugonjwa wa kifafa kwa wananchi wake kwani kidunia Ulanga inaongoza kwa wagonjwa wa kifafa.


Source: Issa MichuziRead More