MBUNGE WA SONGEA MJINI ATOA VIFAA VYA MICHEZO KATIKA KATA 21 - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MBUNGE WA SONGEA MJINI ATOA VIFAA VYA MICHEZO KATIKA KATA 21

Mbunge wa jimbo la Songea mjini dkt damasi ndumbaro amekabidhi jezi pea 21 pamoja na mipira katika kata 21 za jimbo hilo ili kuweza kuunda timu ya wilaya.Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG


Source: KajunasonRead More