Mbwana Makatta: Ukimzingua tu anasepa - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbwana Makatta: Ukimzingua tu anasepa

HAKUNA ubishi unapozungumzia makocha bora wazawa nchini, jina la Mbwana Makatta haliwezi kukosekana. Unaliachaje jina lake kando wakati ndani ya misimu mitatu ameweza kuzipandisha timu mbili Ligi Kuu Bara. Kwa nini Makatta asiwe bora.


Source: MwanaspotiRead More