MBWANA SAMATTA ALIVYOPAMBANA JANA GENK IKITOKA SARE 1-1 NA BESIKTAS YA UTURUKI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MBWANA SAMATTA ALIVYOPAMBANA JANA GENK IKITOKA SARE 1-1 NA BESIKTAS YA UTURUKI

Mshambuliaji Mtanzania wa KRC Genk, Mbwana Samatta akiwa juu kupiga kichwa dhidi ya mabeki wa Besiktas ya Uturuki, Mcroatia Domagoj Vida (kulia) na Mreno Pepe (kushoto) katika mchezo wa Kundi I UEFA Europa League Uwanja wa Luminus Arena jana timu hizo zikitoka sare ya 1-1
Mbwana Samatta akipiga kichwa dhidi ya beki wa Besiktas ya Uturuki, Domagoj Vida (kulia) 
Mbwana Samatta akimuangukia kipa wa Besiktas, Mturuki Tolga Zengin katika harakati za kusaka mabao jana 
Tolga Zengin jana akimtolea maneno makali Mbwana Samatta pamoja na kwamba alikuwa anaugulia maumivu chini 
Mbwana Samatta akipambana kuwnaia mpira wa juu jana Uwanja wa Luminus Arena mjnini Genk 
Mbwana Samatta akiuelekea mpira baada ya beki Mcroatia wa Besiktas, Domagoj Vida kuanguka chini. Kushoto ni kipa Tolga Zengin ... Continue reading ->

Source: Bin ZuberyRead More