Mbwana Samatta awashiwa taa ya kijani - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbwana Samatta awashiwa taa ya kijani

NAHODHA wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ni kama amewashiwa taa ya kijani baada ya kupangwa kwa ratiba ya Kombe la Europa Ligi kwa kusema ataendelea kupachika mabao ili kuisaidia KRC Genk kuvuka kwenye hatua ya makundi.


Source: MwanaspotiRead More