Mbwana Samatta: Sababu ya mshambuliaji wa Tanzania kung’ang’aniwa na klabu za West Ham, Everton na Burnley England - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbwana Samatta: Sababu ya mshambuliaji wa Tanzania kung’ang’aniwa na klabu za West Ham, Everton na Burnley England

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta anang’ang’aniwa na klabu tatu za England, taarifa za vyombo vya habari nchini Uingereza zinasema.


Source: BBC SwahiliRead More