Mbwembwe za Joti kabla ya mechi TeamSamatta vs TeamKiba - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mbwembwe za Joti kabla ya mechi TeamSamatta vs TeamKiba

Kuelekea mchezo wa hisani kati ya TeamSamatta dhidi ya TeamKiba, Comedian maarufu nchini Joti alipewa jukumu la kuwa msemaji wa TeamSamatta.


Joti haishiwi vituko kabisa, leo kabla ya mechi kuanza alijitamba sana timu yake kuibuka na ushindi dhidi ya TeamKiba. Dauda TV ilifanikiwa kumnasa Joti akiwa dressing room ya TeamSamatta na kupiga nae stori kabla ya mechi.Source: Shaffih DaudaRead More