Mc Pilipili Atoa Onyo Kali Kwa Wanaommendea Mchumba Wake - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mc Pilipili Atoa Onyo Kali Kwa Wanaommendea Mchumba Wake

Mchekeshaji MC Pilipili amefunguka na kuwamwagia Povu zito wanaume wote ambao watakuwa wanamnyemelea Mpenzi Wake Philomena Thadey ‘Mina’.


Siku chache zilizopita Mc Pilipili alitengeneza headlines Baada ya kuangua kilio wakati anamvalisha pete Mpenzi Wake ambapo alisema ilikuwa ni Furaha.


Lakini siku chache Baada ya tukio hilo Mc Pilipili amewatolea Povu wanaume wakware wote ambao wameanza kumtolea macho mpenzi wake Baada ya kuona amemgharamikia ikiwemo kutoa mahari  ya milioni 8.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mc pilipili ameweka video hii ambayo amewatahadharisha ambao walikuwa wanammendea mchumba Wake:


View this post on InstagramTUSIKILIZANE JAMANI . . kuhusu @qute_mena . . @pilipili_events


A post shared by Emmanuel Mathias (@mcpilipili) on Jan 7, 2019 at 10:25am PST

The post Mc Pilipili Atoa Onyo Kali Kwa Wanaommendea Mchumba Wake appeared first on Ghafla! Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More