Mch. Msigwa apigwa ‘stop’ kufanya mikutano Iringa - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mch. Msigwa apigwa ‘stop’ kufanya mikutano Iringa

JESHI la Polisi mkoani Iringa limempiga marufuku Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa kufanya mikutano ya hadhara kwa madai ya kutoa lugha za matusi na uchochezi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu wa barua iliyosambaa mitandaoni inayodaiwa kutoka kwa Jeshi la Polisi Wilaya ya Iringa na kusainiwa na Kamanda wa Polisi wilayani humo, Yohana ...


Source: MwanahalisiRead More