Mch. Peter Msigwa apigwa ‘STOP’ kufanya mikutano jimboni kwake, jeshi la polisi latoa sababu - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mch. Peter Msigwa apigwa ‘STOP’ kufanya mikutano jimboni kwake, jeshi la polisi latoa sababu

Mbunge wa Iringa Mjini kupitia tiketi ya CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa amepigwa marufuku na Jeshi la Polisi Wilaya ya Iringa ya kuendelea na mikutano ya kisiasa kwenye kata zote za jimbo lake.


Image result for Peter Msigwa na polisiMchungaji Peter Msigwa

Kwa mujibu wa barua hiyo kutoka kwa Jeshi la Polisi, imeeleza kuwa Mchungaji Msigwa amekuwa akitoa maneno ya kashfa na uchochezi.The post Mch. Peter Msigwa apigwa ‘STOP’ kufanya mikutano jimboni kwake, jeshi la polisi latoa sababu appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More