Mchezaji ashtakiwa kwa kumbaka kocha wake Marekani - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mchezaji ashtakiwa kwa kumbaka kocha wake Marekani

Mchezaji wa klabu ya mpira wa miguu wa aina ya Kimarekani ya New England Patriots, Antonio Brown ameingia kwenye utata mpya jana Jumanne baada ya kutuhumiwa kumbaka kocha wake wa zamani na kufunguliwa mashtaka Florida.


Source: MwanaspotiRead More