Mchezaji Yanga afungiwa mechi tatu - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mchezaji Yanga afungiwa mechi tatu

BEKI wa klabu ya Yanga Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amefungiwa michezo mitatu baada ya kukutwa na hatia ya kumpiga kiwiko mchezaji Andrew Simchimba kwenye mchezo dhidi Coastal Union uliochezwa 3 februari, 2019. Anaripoti Kelvin Mwaipungu… (endelea) Mchezaji huyo ambae alihojiwa na kamati ya nidhamu hapo jana alikili kosa hilo na kusema haikuwa dhamila yake bali alikuwa ...


Source: MwanahalisiRead More