MCHEZO WA AZAM FC NA GOR MAHIA KATIKA PICHA JANA DAR ES SALAAM - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MCHEZO WA AZAM FC NA GOR MAHIA KATIKA PICHA JANA DAR ES SALAAM

Winga wa Azam FC, Joseph Kimwaga akimtoka mchezaji wa Gor Mahia katika mchezo wa Nusu Fainali Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Azam ilishinda 2-0 
Joseph Kimwaga akiwania mpira wa juu dhidi ya mchezaji wa Gor Mahia jana 
Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy'akipambana katikati ya wachezaji wa Gor Mahia 
Mshambuliaji wa Azam FC, Ditram Nchimbi akipambana na mchezaji wa Gor Mahia
Kiungo wa Azam FC, Mudathir Yahya akifumua shuti dhidi ya wachezaji wa Gor Mahia
Kocha wa Azam FC, Mholanzi Hans van der Pluijm akimpa maelekezo winga Joseph Kimwaga baada ya dakika 90 kumalizika timu hizo zikiwa hazijafungana kabla ya mabingwa hao watetezi kupata mabao yao mawili ndani ya dakika 30 za nyongeza... Continue reading ->

Source: Bin ZuberyRead More