Mchungaji aliyepigwa risasi 40 na majambazi bila kupenya mwilini, akamatwa na polisi (+picha) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mchungaji aliyepigwa risasi 40 na majambazi bila kupenya mwilini, akamatwa na polisi (+picha)

Wakati ulimwengu ukibuni njia ya kuweza kubuni mavazi ambayo yatazuia risasi kutokupenya kiurahisi kwenye mwili wa binadamu, hii ni tofauti kwa Mchungaji wa Kanisa la Grace and Power Prophetic Ministry International, David Elijah kutoka Nigeria ambaye wiki iliyopita amenusurika kifo kwa kushambuliwa kwa risasi akiwa njiani kuelekea kanisani.


Mchungaji David Elijah

Mchungaji David siku ya Ijumaa Septemba 7, 2018 akiwa mjini Awka, Anambra huko Nigeria alikuwa anaenda kanisani kwake akiwa kwenye gari alivamiwa na majambazi waliokuwa na silaha za moto na kuanza kumfyatulia risasi.Gari hilo lilitobolewa karibia lote kwa risasi lakini mpaka maaskari wanafika eneo la tukio, walimkuta mchungaji David Fulana yake ikiwa yenye matundu ya risasi huku mwili wake ukiwa haujajeruhiwa hata kidogo.Hata hivyo, maaskari hao walimkamata kwa mahojiano zaidi huku wakitahamaki tukio hilo kwamba amewezaje kupona kwenye shambulizi hilo.


Tayari Jeshi la Polisi katika jimbo la Anambra limemuachia Mchungaji ... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More