Mchungaji Atoa Laana kwa Wema Sepetu. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mchungaji Atoa Laana kwa Wema Sepetu.

Mchungaji wa kanisa moja huku jijini Dar es salaam amefunguka na kusema wema sepetu atapata laana na atakufa bila hata kuolewa wala kupata mtoto.


Maneno ya mchungaji  mashimo yanakuja baada ya mchungaji huyo kuandaa mkesha kwa ajili ya kumuombe wema lakini wem alikataa kuhudhuria mkesha huo kwa kusema kuwa  hakuwa na taarifa yoyote kuhusu kuwepo kwa mkesha huo na hata kama amekuwa na shida kisi gani asingeweza kuhdhuria kwa sasa.


Mchungaji huyo anasema kuwa pamoja na kwamba alitaka kumuombea wema kwa sasa alioteshwa na mungu kufanya hivyo na mwanadada huyo amekuwa akikataa kufanyiwa hivyo basi mwanadada huyo atakuwa na shida kubwa lakini hamekuwa hajui kile anachokipitia.


Lakini pia mchungaji huyo anasema kuwa wema hatoolewa na hata mwanaume aliyemtangaza kuwa ni mume wake alikuwa ametumwa tu.


The post Mchungaji Atoa Laana kwa Wema Sepetu. appeared first on Ghafla! Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More