MCT, Taswa walaani, Mambosasa atia neno kupigwa kwa mwanahabari - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MCT, Taswa walaani, Mambosasa atia neno kupigwa kwa mwanahabari

Dar es Salaam. Baraza la Habari Tanzania (MCT) na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA) vimesikitishwa, kufedheheshwa na tukio la ukatili lililofanywa na polisi dhidi ya mwandishi wa habari wa kituo cha Wapo Radio cha Dar es Salaam, Silas Mbise Jumatano Agosti 8, 2018 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.


Source: MwanaspotiRead More