MDHAMINI WA CHAMA CHA SKAUTI TANZANIA NA RAIS MSTAAFU ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AKUTANA NA SKAUTI MKUU - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MDHAMINI WA CHAMA CHA SKAUTI TANZANIA NA RAIS MSTAAFU ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AKUTANA NA SKAUTI MKUU

 Mdhamini wa Chama cha Skauti Tanzania na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Skauti Mkuu Mhe. Mwantumu Mahiza ambaye amemtembelea nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es salaam kumwamkia na kujitambulisha leo Jumamosi Oktoba 13, 2018 Mdhamini wa Chama cha Skauti Tanzania na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akimsikiliza Skauti Mkuu Mhe. Mwantumu Mahiza akimtambulisha wajumbe alioongozana nao nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam kumwamkia na kujitambulisha. Mdhamini wa Chama cha Skauti Tanzania na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akimsikiliza Skauti Mkuu Mhe. Mwantumu Mahiza akimtambulisha wajumbe alioongozana nao nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam kumwamkia na kujitambulisha. Mdhamini wa Chama cha Skauti Tanzania na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akipokea zawadi ya kigoda maalumu cha kuwekea Kurani Tukufu kutoka kwa  Skauti Mkuu Mhe. Mwantumu Mahiza ambaye amemtembelea... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More