MECHI YA SIMBA NA JS SAOURA YAUSIMAMISHA MSAFARA WA NAIBU WAZIRI KWA MUDA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MECHI YA SIMBA NA JS SAOURA YAUSIMAMISHA MSAFARA WA NAIBU WAZIRI KWA MUDA

Msafara wa Naibu waziri wa Maji Jumaa Aweso waonyesha uzalendo kwa kuungana na mashabiki wa timu ya Simba na Taifa kwa ujumla, kutazama mechi ya Simba dhidi ya JS Saoura akiwa njiani kuelekea Mara baada ya kumaliza Ziara yake katika Wilaya za Karagwe na Kyerwa.
Msafara huo umelazimika kusimama kwa Muda katika Kiwanja cha Hill top mjini Kayanga Wilayani Karagwe huku Mh. Aweso akishindwa kujizuia kuonyesha mapenzi yake dhahili kwa timu ya simba.Naibu waziri wa maji Juma Aweso akishindwa kujizua wakati wa timu ya Simba ilipofunga goli la tatu timu dhidi  ya Js soura... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More