Mechi za mchana zinaweza kusababisha kifo kwa wachezaji - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mechi za mchana zinaweza kusababisha kifo kwa wachezaji

Bodi ya Ligi na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), zimeshauriwa kubadilisha uamuzi wao wa kupanga mechi za Ligi Kuu kuchezwa saa 8.00 mchana kwa sababu kitaalamu inaweza kuleta madhara kwa wachezaji ikiwamo kufa uwanjani.


Source: MwanaspotiRead More