Mendes aongoza mawakala wa wachezaji kwa mkwanja - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mendes aongoza mawakala wa wachezaji kwa mkwanja

SOKA la kisasa haliwezi kukamilika bila ya kuwapo na mawakala wa wachezaji. Kilichopo ni kwamba huwezi kusajili mchezaji yeyote wa maana bila ya kupitia wakala na wachezaji wote mahiri wapo na mawakala wao ambao wamekuwa wakihangaika kuwatafutia dili za maana kwenye timu mbalimbali.


Source: MwanaspotiRead More