MENEJA WA AZAM FC, PHILIPO ALANDO ATUHUMIWA KUMFANYIA FUJO REFA MECHI NA LIPULI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MENEJA WA AZAM FC, PHILIPO ALANDO ATUHUMIWA KUMFANYIA FUJO REFA MECHI NA LIPULI

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtia hatiani Meneja wa Azam FC, Philippo Alando kumfanyia fujo refa wa akiba katika mechi namba 65 dhidi ya Lipuli FC ya Iringa iliyomalizika kwa sare ya 0-0.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Boniface Wambura Mgoyo amesema Alando atapelekwa Kamati ya Nidhamu ya TFF kwa kosa la kumzonga Mwamuzi wa Akiba akilalamikia maamuzi yake katika mechi hiyo iliyochezwa Septemba 27 Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.
Wambura Mgoyo amesema hayo yamefikiwa katika kikao cha Bodi Oktoba 5, mwaka huu kupitia taarifa na matukio katika mechi za Ligi Kuu, Ligi Daraja la Kwanza (FDL) zinazoendelea hivi sasa na taarifa mbalimbali. 
Meneja wa Azam FC, Philippo Alando (kushoto) atapandishwa Kamati ya Nidhamu kujibu tuhuma zake

Aidha, Wambura amesema kwamba Kocha Msaidizi wa Mbao FC, Augustino Joseph Malindi pia atapelekwa Kamati ya Nidhamu kwa kumfuata Mwamuzi na kumsakama kw... Continue reading ->

Source: Bin ZuberyRead More