Meneja wa Diamond Kukata Rufaa Kesi yake Dhidi ya Shekhe Mbonde - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Meneja wa Diamond Kukata Rufaa Kesi yake Dhidi ya Shekhe Mbonde

Meneja wa msanii Diamond Platinumz , Babu tale amefunguka na kusema kuwa baada ya hukumu ya kesi hiyo kutoka wameomba kukata rufaa katika kesi hiyo ambayo kampuni ya Tip Top Imekuwa ikishatakiwa kufanya uradufishaji wa baadhi ya kanda bila ruhusa ya aliyekuwa akimiliki.


Babu take anasema kuwa kwa sababu hakuwa amelizika na hukumu ya kesi hiyo imekuwa jambo la khri sana walipoambiwa kuwa wanaweza kukata rufaa na kutaka kesi hiyo kurudiwa kwa sababu hiyo.


Hata hivyo meneja huyo anasema kuwa mpaka alipofikia hatua ya kwenda mahakamni , ilikuwa haiwezekani tena kukaa chii kama wao na kufanya mazungumzo.


Ikumbukwe kuwa kesi hiyo iliwahi kumpeleka Babu Tale magereza ambako alisota kwa zaidi ya wiki nzima.


The post Meneja wa Diamond Kukata Rufaa Kesi yake Dhidi ya Shekhe Mbonde appeared first on Ghafla! Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More