Meneja wa Simba atupwa ‘jela’ ya soka - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Meneja wa Simba atupwa ‘jela’ ya soka

KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Mpira Miguu Tanzania (TFF) kupitia mwenyekiti wake Hamidu Mbwezeleni imemfungia Meneja wa Simba, Robert Richard kutojihusisha na soka kwa kipindi cha mwaka mmoja pamoja na faini ya shilingi 4, baada ya kukutwa na makosa mawili ya kimaadili. Anaripoti Kelvin Mwaipungu. … (endelea). Kosa la kwanza alilokutwa nalo meneja huyo ...


Source: MwanahalisiRead More