Messi afikisha hat tricks nane michuano ya UEFA,Ipi bora kati ya hizi ? - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Messi afikisha hat tricks nane michuano ya UEFA,Ipi bora kati ya hizi ?

Mchezaji wa klabu ya FC Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi, Baada ya kufungua magoli matatu dhidi ya PSV katika michuano ya UEFA Champions League siku ya Jumanne ya tarehe 18–2018, sasa amefikisha jumla ya hat tricks nane katika michuano hiyo. akiwa amefunga magoli mengi zaidi ya mchezaji mwingine yeyote katika michuano hiyo mikubwa kabisa barani Ulaya.Licha ya kufunga hat tricks nane lakini amekuwa mchezaji wa kwanza kufikisha magoli 63 katika hizo hat tricks nane,akifuatiwa na mchezaji wa klabu ya Juventus na taifa la Ureno.


Je unahisi katika hat tricks hizo nane kwa upande wako ipi ilikuwa bora zaidi kwa upande wako ?8) APOEL 0-4 Barcelona — Nov. 25, 2014


Kama ni mfuatiliaji mzuri wa michuano hii mnamo mwaka 2014 kwa kutumia mguu wake wa kushoto aliweza kuwaweka Apoel katika mazingira magumu baada ya kufunga magoli matatu akipata msaada mkubwa kutoka kwa Rafinha,Pardo pamoja na Pedro.wakati huo Barcelona wakiwa ugenini nchini Ugriki.


7) Viktoria Plzen 0-4 B... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More