MESSI AFIKISHA MABAO 50 TENA BARCELONA IKIBEBA TAJI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MESSI AFIKISHA MABAO 50 TENA BARCELONA IKIBEBA TAJI

Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika za 31 na 32 katika sare ta 2-2 na Eibar kwenye mchezo wa mwisho wa La Liga jana Uwanja wa Manispaa ya Ipurua mjini Eibar, hivyo kufikisha mabao 50 msimu huu kwa mara sita, klabu yake ikiibuka bingwa kwa mara nyingine tena Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More