Messi atisha pesa ndefu duniani - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Messi atisha pesa ndefu duniani

NDANI na nje ya uwanja Lionel Messi ni mbabe. Safari hii siyo kwa wanasoka tu, bali kwa wanamichezo wote. Ameongoza katika orodha ya wanamichezo wanaolipwa zaidi duniani kwa mwaka huu wa fedha.


Source: MwanaspotiRead More