MESSI TENA AISAWAZISHIA BARCELONA YATOA SARE 1-1 NA VALENCIA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MESSI TENA AISAWAZISHIA BARCELONA YATOA SARE 1-1 NA VALENCIA

Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia bao la kusawazisha Barcelona dakika ya 23 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Valencia kwenye mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Mestalla mjini Valencia, kufuatia Ezequiel Garay kuanza kuwafungia wenyeji dakika ya pili tu Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More